Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi Tanzania yawapigisha gwaride Prisons, yashinda 1-0

Polisitanzaniafootballclub 20211204 7 Polisi Tanzania

Sat, 4 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la Tariq Simba dakika ya tano ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida limeipa Polisi Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Bao la Tariq Simba dakika ya tano ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida limeipa Polisi Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Polisi Tanzania inafikisha pointi 14 na kurejea nafasi ya tatu, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake katika nafasi ya 12 kwenye ligi ya timu 16 baada ya wote kucheza mechi nane sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live