Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pogba apigwa marufuku kukanyaga Uwanja wa Mazoezi wa Juventus

Paul Labile Pogba Money Paul Pogba

Sat, 7 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kufanyika uchunguzi juu ya kutumia dawa za kusisimua misuli ,Kiungo Paul Pogba amegundulika kuwa anatumia dawa hizo hii baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya pili.

Baada ya kufanyika uchunguzi juu ya kutumia dawa za kusisimua misuli ,Kiungo Paul Pogba amegundulika kuwa anatumia dawa hizo hii baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya pili. Kwa taarifa ni kwamba huenda kiungo huyo akafungiwa miaka miwili hadi minne (2-4) kujihusisha na Soka lakini Kabla ya adhabu ya FIFA kutoka tayari Pogba amepigwa marukufu ya kuingia kwenye uwanja wa Mazoezi wa Juventus.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live