Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pogba: Nimeshakufa, Sipo tena

Paul Labila Pogba 4 Years Paul Pogba

Tue, 25 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba anasema kwasasa anajiona kama amekufa na hayupo tena.

Kiungo huyo wa kati wa Juventus anatumikia kifungo cha miaka minne kutocheza soka baada kubainika anatumia madawa ya kuongeza nguvu.

Kwenye mahojiano aliyoyafanya jana, Pogba amesema “Mafanikio ya mtu yanaweza kusahaulika ndani ya dakika moja tu”

"Mpira wa miguu ni mzuri sana, lakini ni wa kikatili, Unaweza ukafanya kitu kizuri leo na kesho yake wewe si lolote”

“Nimekwisha, nimekufa. Paul Pogba hayupo tena” alimalizia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live