Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pochettino ataka "Treble" Chelsea

Mauricio Pochettino Pochettino ataka "Treble" Chelsea

Wed, 30 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa klabu ya Chelsea Mauricio Pochettino ametangaza hali ya tahadhari kwa timu zinazoshiriki ligi kuu nchini England.

Ambapo amedai kuwa msimu huu anataka kushinda makombe yote matatu "Treble" ambayo ni Kombe la Ligi Kuu, Kombe la FA na Kombe la Carabao.

"Nataka kushinda Kombe la Carabao, nataka kushinda Kombe la FA na ninataka kushinda Ligi ya Ligi kuu ya EPL, kisha tutaona kitakachotokea," Amesema Mauricio Pochettino

Mpaka hivi sasa Chelsea wapo nafasi ya 10 kwenye msimamo wa EPL.

Je, Unaamini watabeba Treble? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live