Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pochettino: Siwezi kufundisha Arsenal

Mauricio Pochettino 4842395 Kocha wa Chelsea, Mauricio Pochettino

Sat, 4 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Chelsea Mauricio Pochettino amesema kwamba Dunia isikae ikafikiria kwamba ipo siku ataweza kuifundisha Arsenal kwani hicho kitu hakitaweza kutokea kwake

Kocha Mkuu wa Chelsea Mauricio Pochettino amesema kwamba Dunia isikae ikafikiria kwamba ipo siku ataweza kuifundisha Arsenal kwani hicho kitu hakitaweza kutokea kwake "Katika Maisha yangu ya soka hata siku moja siwezi kufundisha Arsenal The Gunners au Fc Barcelona siwezi, siwezi na haiwezi kutokea naomba niwe mkweli" amesema Pochettino

Chanzo: www.tanzaniaweb.live