Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pochettino: Hakuna Timu ya kutuzuia tusifunge

Mauricio Pochettino Managing Paris Saint Germain In The Champions League Kocha wa Chelsea, Mauricio Pochettino

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Chelsea Mauricio Pochettino ameelezea eneo la timu yake ambalo ni kikwazo kwa timu yake kupata ushindi

” Tumekuwa na kiwango cha chini kwa miezi michache iliyopita kwa kukosa muendelezo mzuri wa kiwango leo tunacheza vizuri kesho tunaharibu”

“ Hakuna beki ya timu inayoweza kuzuia sisi tusiwafunge ila shida hata tukifunga tumekosa ubora wa kuzuia lazima tufungwe tunaitaji kuboresha eneo hilo”...

Chanzo: www.tanzaniaweb.live