Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pluijm azitaka Simba, Yanga Robo Fainali Azam Sports Federation

Hans Vab De Puijma M Kocha wa Singida Big Stars, Hans Van Der Pluijm

Sun, 5 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kufanikiwa kupenya hatua ya Robo fainali kwa kuitoa Timu ya JKT Tanzania kwa goli 1-0.

Kocha wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amesema anatamani sana kukutana kati ya Yanga au Simba katika hatua ya Robo Fainali ASFC

“malengo yetu sisi ni kuchukua taji na ili ufanikiwe kwa hilo ni lazima ukutane na Simba, Yanga hivyo sisi tuko tayari kwa atakayekuja mbeleni.”

Singida Big Stars imepanda daraja msimu uliopita lakini imekuja vyema ikiwa inagomea kumaliza nafasi nne za juu kwa upande wa Ligi Kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live