Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pitso kweli ni mwamba wa makombe

Pitso Mosimane.jpeg Pitso kweli ni mwamba wa makombe

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Pitso Mosimane amepata ushindi wa pili ndani ya Ligi Kuu ya Saudi Arabia ???????? baada ya kuwaongoza Abha FC kuikanda Al Wehda hapo Jana Usiku.

Bao la Ali Sahafi dakika ya 34 Kwa Assist ya Kideoni toka Kwa Jumayah limetosha kuwapa ushindi nyumbani.... ambao wafanya wafikishe alama 21.

Mosimane ameiongoza Abha FC katika michezo mitano akishinda miwili kupoteza miwili na sare moja.

Ili waondoke kwenye msitari mwekundu wanatakiwa kuvuna alama zaidi katika mechi zijazo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live