Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pitso Mosimane afungashiwa virago Al Ahly

Pitso Mosimane Left.png Pitso Mosimane

Mon, 13 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Pitso Mosimane ameachana na Klabu ya Misri, Al Ahly siku chache baada ya kuukosa Ubingwa Klabu Bingwa Afrika mbele ya Wydad Casablaca ya Morocco.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa na Klabu ya Al Ahly, imesema pande zote mbili zimefikia makubaliano ya kuvunja mkataba.

Mosimane ameshinda mataji 5 tangu ajiunge na timu hiyo mwaka 2020 yakiwemo ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara 2, Egyptian Cup mara moja na Caf Super Cup mara mbili.

Hii hapa taarifa ya Klabu ya Al Ahly;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live