Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pitso Mosimane: Mamelodi ni kama Man City tu

Pitso Mosimane.jpeg Pitso Mosimane

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa Mamelodi Sundowns ya Afrika ya Kusini Pitso Mosimane amezungumzia kuhusu klabu hiyo kutawala soka la Afrika Kusini lakini inashindwa kutawala soka la bara zima la Afrika.

Pitso Amesema:

"Ni jambo la muda tu, Mamelodi ni kama Manchester City ya Pep Guardiola, Ilichukua muda gani kwa Pep Kushinda ubingwa wa Uefa Champions League?"

"Naamini Mamelodi watashinda ubingwa kwa mara nyingine"

Hadi sasa Mamelodi wametwaa ubingwa wa CAF CHAMPIONS LEAGUE mara moja tu licha ya ubora mkubwa walionao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live