Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pirato fainali ya CAFCC, RS Berkane vs Zamalek huyu hapa

Kenya 2660907 Pirato fainali ya CAFCC, RS Berkane vs Zamalek huyu hapa

Sat, 4 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya RS Berkane na Zamalek CAF wamemteua Peter Waweru Kamaku mwenye miaka 40 Kutoka Kenya kuwa Mwamuzi Wa mchezo huo mechi itachezwa May 12.

Kuelekea Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya RS Berkane na Zamalek CAF wamemteua Peter Waweru Kamaku mwenye miaka 40 Kutoka Kenya kuwa Mwamuzi Wa mchezo huo mechi itachezwa May 12. Peter Waweru mbali na kuwa Mwamuzi Bora Kwa ukanda Wa Afrika mashariki lakini pia ana shaada ya Hisabati (pure mathematics) akiwa ni mwitimu katika chuo kikuu Cha Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live