Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pilato USM Alger vs Yanga huyu hapa

Beda Dahan Beda Dahan

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limemteua mwamuzi Beda Dahan kutoka Mauritania kusimamia Mchezo wa Fainali wa mkondo wa Pili wa kombe la Shirikisho Kati ya USM Alger Dhidi ya Yanga SC.

Atasaidiwa na mwamuzi Garson dos Sontos kutoka Angola na Arsenio Marangol kutoka Msumbiji.

Kwa upande wa Chumba Cha VAR kitasimamiwa na mwamuzi wa Misri Mahmoud Ashur na kusaidiwa na waamuzi wawili wa Misri, Muhammad Abdel-Sayed Hussein na Mahmoud Ahmed Abdel-Ragel.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: