Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pilato Raja vs Simba huyu hapa

Ahmad Heeralall Ahmad Heeralall

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi Ahmad Heeralall kutoka Mauritania anatarajiwa kuchezesha mchezo wa raundi ya mwisho wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kati Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi hiyo Simba SC dhidi ya miamba ya Morocco, Raja Casablanca utakaopigwa katika dimba la Mohamed V, Casablanca.

Mwamuzi Ahmad Heeralall kutoka Mauritania anatarajiwa kuchezesha mchezo wa raundi ya mwisho wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kati Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi hiyo Simba SC dhidi ya miamba ya Morocco, Raja Casablanca utakaopigwa katika dimba la Mohamed V, Casablanca. Mchezo huo wa kukamilisha ratiba baada ya Mnyama kujihakikishia nafasi kwenye robo fainali ya #CAFCL utachezwa majira ya saa saba kamili usiku wa kuamkia Aprili Mosi, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live