Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pigo kubwa Simba: Inonga ndo hivyo tena!

Dcsa Inonga Henock Inonga.

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imethibitisha kuwa mlinzi wake Inonga Baka atakaa nje takribani wiki mbili kutokana na jeraha la mkono aliolipata kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii Jijini Tanga, dhidi ya Singida Fountain Gate.

Klabu ya Simba imethibitisha kuwa mlinzi wake Inonga Baka atakaa nje takribani wiki mbili kutokana na jeraha la mkono aliolipata kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii Jijini Tanga, dhidi ya Singida Fountain Gate. Inonga ambaye ni raia wa Congo DR aliumia wakati wa mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC katika Dimba la CCM Mkwakwani na kulazimika kutolewa nje kabla mchezo huo haujamalizika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live