Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha za Ronaldo, Pele, Le Bron zapamba Gym ya Vini Jr

Vinicius Jr Gym Picha za Ronaldo, Pele, Le Bron zapamba Gym ya Vini Jr

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je kwenye "GYM" yako ya binafsi ungependa kuwe na picha za shujaagani kukuhamasihsa kuifanya mazoezi?

Winga wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Brazil Vini Jr yeye gym yake binafsi ya nyumbani kumepangwa na picha za mashujaa hawa;

LeBron James

Cristiano Ronaldo

Michael Jordan

Ronaldo De Lima

Kobe Brynt

Pele

Chanzo: www.tanzaniaweb.live