Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha ya Ronaldo na Mane yazua gumzo

Ronaldo 8AAoc  Picha ya Ronaldo na Mane yazua gumzo

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Picha ni Cristiano Ronaldo akimpatia Sadio Mane mpira ili apige penati kitu Ambacho kimevutia watu wengi sana.

Cristiano alikuwa na nafasi ya kuwa mfungaji bora wa Kombe la Saudi King's Cup kama angechagua kupiga penalti hiyo, lakini aliamua kumpa Sadio Mane kwa sababu alitaka Mane awe mfungaji bora kwenye kombe hilo.

Cristiano angefunga hat-trick pia kama angepiga penalti hiyo mwenyewe.

Al Nassr walishinda kwa jumla ya Magoli 3-1 Ronaldo, Sadio Mane la penati alivyopewa na Ronaldo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live