Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Philippe Clement Kocha mpya Rangers

MM TALKSPORT TWINUP MUSCAT CLEMENT2 Philippe Clement Kocha mpya Rangers

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Rangers imemteua Kocha Mkuu wa zamani wa Monaco Philippe Clement kuwa Meneja wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu.

Clement (49) ambaye ni mlinzi wa zamani wa Ubelgiji, alifukuzwa kazi na Monaco mwezi Juni baada ya kuongoza kwa miezi 18.

Anachukua nafasi ya Michael Beale aliyefukuzwa kazi mapema mwezi huu.

Mwenyekiti wa Rangers John Bennett amesema kuwa walijipanga na kufuata hatua za kina za uajiri na mbelgiji huyo ni bora na anayewafaa kwa kila kiwango.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live