Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Phil Foden anatisha ndani ya Manchester City

Phil Foden Contract Phil Foden

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Phil Foden sasa amehusika katika mabao matano kwenye michezo mitatu iliyopita ya mashindano yote.

Michezo 3

Mabao 4

Pasi za mabao 1

Akiwa na umri wa miaka 22 na siku 280, Phil Foden amekuwa mchezaji mdogo zaiidi katika historia ya Manchester City kuhusika katika mabao 50 kwenye Premier league.

takwimu zake za muda wote katika premier league

Michezo 120

Mabao 33

Pasi za mabao 17

Amehusika katika mabao 50

Phil Foden katika premier league msimu huu hadi sasa

Michezo 23

Ameanza michezo 16

Dakika alizocheza 1350

Mabao 9

Pasi za mabao 4

Ana wastani wa kufunga bao kwa kila dakika 150

Chanzo: www.tanzaniaweb.live