Wed, 6 Sep 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Klabu ya Petro de Luanda iliwasilisha hati zote kwa Baraza la Mamlaka la FA ya Angola Jana Jioni.
Ndani ya siku tano (5) hukumu inatarajiwa kutoka iwapo marufuku hiyo itaondolewa au la kwa wao kushiriki ligi yao na ligi ya soka barani Afrika.
Petro De Luanda wanashutumiwa kwa upangaji wa matokeo katika Ligi yao na Chama cha Soka nchini Angola kimedai kuifungia Klabu hiyo.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live