Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Peter Shalulile alivyobeba matumaini ya Mamelodi msimu huu

Peter Shalule Mshambuliaji Peter Shalulile

Wed, 15 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Peter Shalulile sasa ameifungia Mamelodi Sundowns mabao manne katika michezo miwili iliyopita ya mashindano yote.

dhidi ya Royal AM (mabao mawili)

dhidi ya Al Ahly (mabao mawili)

Peter Shalulile amefunga mabao mengi zaidi ya mchezaji yoyote katika Dstv Championship (ligi kuu south afrika) msimu huu, (mabao 11)

Peter Shalulile amehusika katika mabao mengi zaiidi ya mchezaji yoyote katika Dstv Championship msimu huu, (amehusika katika mabao 14)

takwimu za Peter Shalulile katika Dstv Championship msimu huu hadi sasa

Michezo 17

Ameanza michezo 15

Dakika alizocheza 1354

Mabao 11

Pasi za mabao 3

Ana wastani wa kufunga bao kwa kila dakika 123

Mabao ya penalty 2

Mabao ndani ya box 11

Mabao kwa mguu wa kulia 8

Mabao kwa mguu wa kushoto 2

Mabao kwa kichwa 1

Chanzo: www.tanzaniaweb.live