Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Peter Banda rasmi ni 'Mlima Alizeti'

Bandaaa3 9147f2355797 Peter Banda rasmi ni Mlima Alizeti

Fri, 12 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rasmi Singida Fountain Gate 'Walima Alizeti' imekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Peter Banda.

Rasmi Singida Fountain Gate 'Walima Alizeti' imekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Peter Banda. Banda amejiunga na Singida Fountain Gate akitokea Nyasa Big Bullets ya nyumbani kwao Malawi aliyojiunga nayo baada ya kuondoka Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live