Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Peter Banda ni suala la muda tu Singida

Petera Banda Singida FG Peter Banda

Sat, 23 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain Gate imekamilisha usajili wa nyota wa zamani wa klabu ya Simba raia wa Malawi Peter Banda kwenye dirisha hili dogo la usajili.

Klabu ya Singida Fountain Gate imekamilisha usajili wa nyota wa zamani wa klabu ya Simba raia wa Malawi Peter Banda kwenye dirisha hili dogo la usajili. Hili litakuwa ni ingizo jingine bora kwa Singida Fountain Gate ambalo linaweza kiwasaidia katika mapambano yao ya kusalia kwenye nafasi nne za juu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live