Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Peter Banda huyoo Ligi ya Mabingwa

Peter Bandaaa Peter Banda

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Red Arrows inakaribia kukamilisha usajili wa Peter Banda (23) kama mchezaji huru.

Banda ametua Lusaka hii leo Juni 3, 2024 na atafanyiwa vipimo ZAF Clinic kisha atasaini mkataba wa miaka miwili.

Red Arrows watacheza CAF CL msimu ujao, hivyo tutarajie kumuona Banda Ligi ya Mabingwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live