Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Peter Banda atua Singida Fountai Gate

Petera Banda Singida FG Pater Banda

Tue, 19 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Kiungo wa ushambuliaji wa Klabu ya Simba SC, raia wa Malawi Peter Banda amejiunga na klabu ya Singida Fountain gate kwa kandarasi ya Miaka miwili akitokea Klabu ya Nyassa Big Bullets.

Aliyekuwa Kiungo wa ushambuliaji wa Klabu ya Simba SC, raia wa Malawi Peter Banda amejiunga na klabu ya Singida Fountain gate kwa kandarasi ya Miaka miwili akitokea Klabu ya Nyassa Big Bullets. Banda alikuwa Simba SC kabla ya kupewa mkono wa kwaheri baada ya kudumu kwa misimu miwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live