Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pepe avunja rekodi UEFA

Pepe Pp Pepe

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa klabu ya FC Porto na Timu ya Taifa ya Ureno, PEPE amevunja rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa kufunga goli katika Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na miaka 40.

Beki wa klabu ya FC Porto na Timu ya Taifa ya Ureno, PEPE amevunja rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa kufunga goli katika Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na miaka 40. Pepe amevunja rekodi hiyo Jana Novemba 7 akiisaidia Porto kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Antwerp.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live