Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pepe, Ronaldo waitwa tena Ureno

Pepe X Ronaldoooooooo Pepe, Ronaldo waitwa tena Ureno

Mon, 18 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji marafiki, Pepe mwenye umri wa miaka 41 na Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 39 wameitwa tena kwa pamoja kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ureno kwaajili ya mechi za kimataifa za kalenda ya FIFA mwezi machi.

Pepe ambaye alianza kuachwa kuitwa kwenye timu hiyo anarejea tena baada ya kiwango bora kwenye michezo ya ligi ya mabingwa Ulaya akiwa na FC Porto ambayo imetolewa kwenye hatua ya 16 bora na Arsenal siku 4 zilizopita.

Nyota hao wakongwe marafiki kuanzia Real Madrid hadi sasa wameitumikia Ureno kwa zaidi miaka 20 kwa pamoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live