Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep asikitika kumkosa Rodri vs Arsenal

Pep X Arteta Sunday Game.jpeg Pep asikitika kumkosa Rodri vs Arsenal

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Kikosi cha Pep Guardiola kikijiandaa kwa safari kuwafata Arsenal Jumapili katika Uwanja wa Emirates.

Kocha Mkuu wa Man City, Pep Guardiola amesikitishwa na kitendo cha kumkosa kiungo wake Rodri anaetumikia adhabu ya kadi nyekundu.

Akizungumza katika Mkutanao na Waandishi wa Habari, Pep anasema

"Siwezi kukuambia jinsi ninavyohuzunishwa na kukosekana kwa Rodri kwenye mechi inayofuata ya Arsenal, lakini lazima nichukue hatua. Sasa yuko likizo na atarejea kwa Brighton..."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live