Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep Guardiola hana Nahodha Man City

Pep Guardiola 100 Pep Guardiola

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Master Mind Pep Guardiola kocha mkuu wa Man City amefunguka kuwa watamchagua nahodha mpya wa kikosi hicho pale watakaporejea Jijini Manchester baada ya Gundogan aliyekuwa nahodha kuondoka City na kutimkia Barcelona.

Master Mind Pep Guardiola kocha mkuu wa Man City amefunguka kuwa watamchagua nahodha mpya wa kikosi hicho pale watakaporejea Jijini Manchester baada ya Gundogan aliyekuwa nahodha kuondoka City na kutimkia Barcelona. Gundogan alikuwa Nahodha mkuu huku Kevin De Bruyne akiwa nahodha msaidizi ndani ya Kikosi cha Man City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live