Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep Guardiola avunja rekodi ya Wenger EPL

Pep Guardiola 100 Pep amefikisha ushindi katika michezo 100 Uwanja wa nyumbani

Tue, 4 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester City imepata ushindi wake wa 100 katika EPL kwenye uwanja wa nyumbani chini ya Pep Guardiola, katika mechi yake ya 128 (W100 D16 L12).

Guardiola Ndiye Kocha aliyeshinda mechi 100 nyumbani haraka zaidi akiivunja rekodi ya Arsene Wenger ya kutumia mechi 139.

Rekodi hiyo imekuja baada ya kuitandika Liverpool mabao 4-1 mchezo wa Ligi Kuu wikiendi iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: