Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep Guardiola ampa maua yake Nathan Ake

WhatsApp Image 2023 05 23 At 00.jpeg Pep Guardiola ampa maua yake Nathan Ake

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Man City Josep Pep Guardiola amesifu kiwango cha mlinzi wake Nathan Ake na nafasi ya ulinzi msimu huu:

Pep Guardiola:

“Nimejifunza msimu huu unapocheza dhidi ya Bukayo Saka, Vinicius Junior, Gabriel Martinelli au Mohamed Salah, unahitaji mabeki wazuri kushinda mechi moja moja.

“Nathan Ake amekuwa wa msingi kwetu. wanahitaji hatua moja tu kukupiga. Nathan alitupa nguvu ambayo hatukuwa nayo hapo awali.”

Ake amekuwa na msimu bora na tayari ameshanyakua taji la EPL akiwa na Manchester City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live