Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep Guardiola alianzia kwenye U-modo kabla ya ukocha

Pep Guardiola Moddling Pep Guardiola alianzia kwenye U-modo kabla ya ukocha

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, alijitosa kwenye kinyang'anyiro cha ulimbwende (modelling) mnamo mwaka wa 1993 ambayo yaliandaliwa na Antonio Miro wa Catalunya."

"Baada ya hapo, kocha wa klabu ya Barcelona kipindi hicho, Johan Cruyf hakufurahishwa na uamuzi wa Pep na baadaye akamuadhibu.

Nguo alizozitumia Guardiola kwenye mashindano hayo zilinunuliwa zote madukani jambo lililoleta utata mtaani."

"Mpaka sasa, inaaminika pamba anazovaa Guardiola ni mawazo ya mwanamitindo Antonio Miro."

Kwa sasa Guardiola ni Kocha mwenye mafanikio makubwa Barani Ulaya akiwa amebeba vikombe na Barcelona, Bayern Munich na Man City.

Kijana wa Kitanzania usiogope kujaribu mambo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live