Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep Guardiola ahofia mziki wa Liverpool

Pep X Klopp Pep Guardiola ahofia mziki wa Liverpool

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola amesema kwa kipindi chote alichokuwa England timu pekee inayompa changamoto ni Liverpool chini ya Klopp .

Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola amesema kwa kipindi chote alichokuwa England timu pekee inayompa changamoto ni Liverpool chini ya Klopp . “ Liverpool wamekuwa wapinzani wetu na Klopp amekuwa mpinzani wangu kwa muda mrefu , kwa ujumla wametupa changamoto na kutusaidia kuwa timu bora katika idara zote, hakuna timu nyingine iliyowahi kunipa changamoto katika kipindi changu hapa."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live