Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep Guardiola achomoa dili la timu ya Taifa ya Brazil

Pep Guardiola Qatar Pep Guardiola

Sun, 8 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pep Guardiola amekataa ofa ya kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Brazil kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia 2026.

Ripoti zinadai kuwa Legend wa Brazil, Ronaldo amefanya mazungumzo na wakala wa Guardiola, Pere kwaajili kuchukua nafasi hiyo lakini amekataa.

Guardiola (51) amekuwa na mafanikio makubwa kwenye klabu alizofundisha huko Hispania,  Ujerumani na sasa England.

Kandarasi mpya  ya Guardiola na Man City ni  ya miaka miwili ambapo itafikia tamati 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live