Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep Guardiola: Tutawashangaza wanaosema tumeisha

Rodri X Pep Guardiola Pep Guardiola: Tutawashangaza wanaosema tumeisha

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Man City Pep Guardiola amesema kuwa anashangazwa na kauli za wale wanaosema Timu yake haina uwezo wa kugombea Ubingwa wa EPL msimu huu.

Akizungumza Pep ambae ameishuhudia City ikipata matokeo hafifu katika micezo mitatu mfululizo kabla ya kuibuka na ushindi wikiendi iliyopita anasema;

"Watu wanasema Man City tayari tumeisha lakini tunataka kuwakosoa na kuwaaminisha kwamba ngoma bado haijaisha, bado tunataka kuendelea kutoa changamoto. Kuhusu kufanikiwa katika hilo itategemea na namna tutakavyocheza." Amesema Pep Guardiola,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live