Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep Guardiola: Palmer aligoma kubaki Man City

Cole Palmer Demanded More First Team Football At Man City Under Pep Guardiola Pep Guardiola: Palmer aligoma kubaki Man City

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mechi kumalizika Kocha wa Manchester City Pep Guardiola aliulizwa kuhusu kuondoka kwa Cole Palmer

"Palmer aliniambia baada ya mwaka mmoja /miwili ataondoka Manchester City,nilimwambia abaki kwa sababu Riyad Mahrez ataondoka na yeye atapata muda zaidi wa kucheza,jibu lake lilikuwa lile lile kuwa anahitaji kuondoka,nilimruhusu aondoke."

Palmer yupo Chelsea na katika mchezo wa Chelsea vs Manchester City jana alifunga goli la penati na kufanya mechi iishe (4-4)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live