Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pep Guardiola: Kyle Walker anaweza kucheza dhidi ya Real Madrid

 129308904 Bc44aa2db1a49ab51396ba7aebc5fe2fe1486e56 Pep Guardiola: Kyle Walker anaweza kucheza dhidi ya Real Madrid

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amedokeza kwamba Kyle Walker anaweza kurudi uwanjani kwa ajili ya mchezo mgumu wa Jumatano wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid.

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amedokeza kwamba Kyle Walker anaweza kurudi uwanjani kwa ajili ya mchezo mgumu wa Jumatano wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid. Walker hajaingia uwanjani tangu alipopata majeraha kwenye misuli ya paja alipokuwa akiichezea timu yake ya taifa (England) katika mechi ya kirafiki dhidi ya Brazil mwezi uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live