Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Penzi la Ronaldo, Georgina lapumulia mashine

Ronaldo And Georgina Ndoa Cristiano Ronaldo na mpenzi wake Georgina Rodriguez

Mon, 24 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uhusiano wa mapenzi wa mwanasoka Cristiano Ronaldo na mchumba wake Georgina Rodriguez unaripotiwa kuwa na doa, huku wakianza kukumbana na mawimbi.

Uvumi wa sasa ni kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha Ureno, Noite das Estrelas, ambapo mwanasaikolojia, mwandishi wa habari na rafiki wa karibu wa familia hiyo walialikwa kutoa maoni yao kuhusu uhusiano wa Ronaldo.

Kama ilivyoripotiwa na Marca, mwanasaikolojia Quintino Aires alitoa maoni kwamba mshindi huyo mara tano wa Ballon d'Or hana raha katika uhusiano wake.

Uvumi wa sasa ni kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha Ureno, Noite das Estrelas, ambapo mwanasaikolojia, mwandishi wa habari na rafiki wa karibu wa familia hiyo walialikwa kutoa maoni yao kuhusu uhusiano wa Ronaldo.

Kama ilivyoripotiwa na Marca, mwanasaikolojia Quintino Aires alitoa maoni kwamba mshindi huyo mara tano wa Ballon d'Or hana raha katika uhusiano wake. Tabia ya hivi karibuni ya Ronaldo inaonyesha mambo mawili: kwamba maisha yake ya kibinafsi hayana furaha na kwamba kadiri anavyojitenga na mama yake, Dolores Aveiro, ndivyo anavyopungua kuwa na hasira. Na sote tunajua kwa nini anazidi kuwa mbali na familia yake." Alisema Aires.

Daniel Nascimento, ambaye nimwandishi wa habari, alikubaliana na matamshi ya Aires akisema:

“Ronaldo hana furaha. Georgina anatumia muda wake mwingi sokoni huko Riyadh na hiyo ndiyo sababu mojawapo inayomfanya Cristiano hana raha akiona hilo halifai. Anatumia pesa vibaya. Na mbaya zaidi, anafikiria kuwa yuko sawa kiwango cha Cristiano. Anajiweka juu na hapendi kabisa."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live