Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pellegrini aongeza Mkataba Real Betis

SPORT PREVIEW Manuel Pellegrini 2 Manuel Pellegrini

Thu, 6 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa Real Madrid na Manchester City Manuel Pellegrini (69) raia wa Chile amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu ya Real Betis kwa miaka mitatu zaidi mpaka Juni 2026.

Kocha wa zamani wa Real Madrid na Manchester City Manuel Pellegrini (69) raia wa Chile amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu ya Real Betis kwa miaka mitatu zaidi mpaka Juni 2026. Pellegrini aliwahi kuinoa Klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya England.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live