Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pele kusherehekea Krismasi akiwa hospitali

Pele Atoka Hospital Gwiji Pele

Thu, 22 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nguli wa soka Nchini Brazil, Pele ameripotiwa kuwa atasherehekea sikukuu ya Christmas akiwa hospitali baada ya tatizo lake la Saratani ya kuwa katika hali mbaya zaidi.

Nguli wa soka Nchini Brazil, Pele ameripotiwa kuwa atasherehekea sikukuu ya Christmas akiwa hospitali baada ya tatizo lake la Saratani ya kuwa katika hali mbaya zaidi. Pele (82), amekuwa akisumbuliwa na tatizo la saratani ya utumbo mpana tangu Septemba 2021 na amekuwa hospitalini tangu Novemba 29 kwa ajili ya madaktari kutathmini upya matibabu yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live