Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pauni Mil. 21.2 kumpeleka Joao Cancelo Al- Hilal

Joao Cancelo .png Pauni Mil. 21.2 kumpeleka Joao Cancelo Al- Hilal

Tue, 27 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester City imefikia makubaliano na timu ya Al-Hilal inayoshiriki ligi ya kulipwa Saudi Arabia kumuuza beki Joao Cancelo kwa pauni million 21.2.

Habari zimesema vipengele binafsi havifikiriwi kuwa tatizo dili hilo ingawa bado Cancelo hajakubali uhamisho huo.

Iwapo atakubali, Cancelo mwenye umri wa miaka 30 anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu hivyo kumaliza kumaliza mitaka mitano ya kuwepo Etihad.

Manchester City ililipa pauni milioni 60 kumsajili Joao Cancelo kutoka Juventus mwaka 2019.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live