Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Paulinho atundika daluga

Paulinho Ds Paulinho atundika daluga

Mon, 9 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Paulinho ambaye hivi karibuni aliitumia Corinthians ya Brazil ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 36.

Paulinho ambaye pia amewahi kuitumikia Tottenham Hotspur aliichezea Barcelona msimu 2017/218 na kuifungia magoli 9 na ‘assist’ tatu kwenye mechi 29.

Kiungo huyo ameifungia timu ya taifa ya Brazil magoli 13 akiiwakilisha kwenye kombe la Dunia 2014 na 2018.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live