Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Paul Pogba ageukia uigizaji

Paul Labila Pogba 4 Years Paul Pogba

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kufungiwa kujihusisha na mpira wa miguu kwa kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli ,Aliyewahi kuwa kiungo wa Man United na Juventus Paul Pogba sasa hivi amejikita kwenye sanaa ya uigizaji na mwakani 2025 movie yao inayoenda kwa jina la [ 4 Zeros ] itatoka na Pogba atakuwa sehemu ya waigizaji

Chanzo: www.tanzaniaweb.live