Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Patino aikataa Arsenal, Vigogo Ulaya waanza kumfukuzia

Patinhoooooo Kiungo wa kati wa Arsenal Charlie Patino

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa kati wa Arsenal Charlie Patino huenda akaihama klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Ripoti zinasema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 hana nia ya kusalia katika klabu hiyo ya Kaskazini mwa London.

Mchezaji huyo kwa sasa yuko kwa mkopo Swansea City na anafanya vyema akiwa amefunga mabao manne na kutoa assist 4 za mabao.

Vilabu kama Juventus na Roma vimeonesha nia ya kumsajili mwishoni mwa msimu huu na inaelezwa kuwa mwenyewe ana matamanio makubwa ya kucheza Italia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live