Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pascal Wawa ageukia Ukocha

Pascal Wawa Ukocha Pascal Wawa ageukia Ukocha

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa Klabu ya Simba, Azam FC na Singida Fountain Gate FC Sergie Pascal Wawa ni miongoni mwa Washiriki wa Kozi ya ukocha ya Grassroots.

Nyota wa zamani wa Klabu ya Simba, Azam FC na Singida Fountain Gate FC Sergie Pascal Wawa ni miongoni mwa Washiriki wa Kozi ya ukocha ya Grassroots. Kozi hiyo inaendelea ikishirikisha makocha 42 chini ya uratibu wa Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Ilala (IDFA).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live