Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Partey yupo sana Arsenal

Partey Kusepa Arsenal Kiungo wa Arsenal, Thomas Partey

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Arsenal, Thomas Partey amekanusha uvumi kuwa mwisho wa msimu huu ataondoka Arsenal,badala yake amesema ana furaha sana klabuni hapo na hafikirii kuondoka

“Hii ndio sehemu niliyochagua kucheza ,nina furaha sana ninapokuwa uwanjani najua kuna mengi huko nje ila nitaendelea kuwa hapa”

Kwenye game ya juzi dhidi yaLuton Town:

Alicheza dakika_______67. Accurate Passes___ [ 93% ] 62/67 Touches______________75 Tackles_______________100%

Chanzo: www.tanzaniaweb.live