Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Partey kumpisha Douglas Luiz Januari

Arteta With Douglas Luiz Partey kumpisha Douglas Luiz Januari

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal imethibitisha kuwa ttamuuza kiungo wake raia wa Ghana Thomas Partey mwezi January na mbadala wake ni Douglas Luiz kutoka Aston Villa.

Klabu ya Arsenal imethibitisha kuwa ttamuuza kiungo wake raia wa Ghana Thomas Partey mwezi January na mbadala wake ni Douglas Luiz kutoka Aston Villa. Kocha wa Arsenal Mikel Arteta anaonekana kumuhitaji kwa nguvu Douglas Luiz katika kikosi chake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live