Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Parade la ubingwa kupigwa Mei 25

Bacca Yanga Parade la ubingwa kupigwa Mei 25

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe ameelezea ratiba ya Parade la Ubingwa itakayopigwa Jumamosi Mei 25, 2025 ambapo amesema ‘parade’ hiyo itaanza saa 5 asubuhi katika dimba la Benjamin Mkapa na kupitia baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe ameelezea ratiba ya Parade la Ubingwa itakayopigwa Jumamosi Mei 25, 2025 ambapo amesema ‘parade’ hiyo itaanza saa 5 asubuhi katika dimba la Benjamin Mkapa na kupitia baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam. “Parade la Ubingwa Mwaka huu ni Mei 25, 2024 kuanzia saa 5 asubuhi pale Benjamin Mkapa na baada ya mechi tutatoka Kwa Mkapa hadi Kurasini Uhasibu, Mtoni, Temeke Mwisho, Mwembe Yanga, Vetenari, Tazara, Buguruni huku mjini mnaelewa njia haina haja ya kueleza na Safari hii hatupiti tutakaa kidogo,” amesema Ally Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live