Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Paqueta mambo magumu, kufungiwa Maisha

Lucas Paqueta Matatani Lucas Paquetá

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ripoti za awali zanasema FA inataka kumpiga marufuku Lucas Paquetá kujihusisha na soka katika maisha yake yote kutokana na kuvunja kanuni ya kamari kwa wanamichezo.

Ripoti za awali zanasema FA inataka kumpiga marufuku Lucas Paquetá kujihusisha na soka katika maisha yake yote kutokana na kuvunja kanuni ya kamari kwa wanamichezo. Imelezwa kuwa FA imejiridhisha kwa maelezo kuwa takribani watu 60 walimlipa Paquetá ili kusababisha wavune kiasi cha £100,000 (Tshs Milioni 332) iliyotokana na watu hao kuweka mkeka wenye dau la ni £7 (Tshs 23,273) hadi £400 (Tshs Milioni 1.3)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live