Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pambani Atua Simba Queens

Simba Queensr Pambani

Mon, 20 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Falonne Pambani Kuzoya mzaliwa wa Agosti 2, 1994 Kinshasa DR Congo amekula kandarasi ya miaka miwili kukipigwa kwa mabingwa nchi Simba Queens.

Pambani alikuwepo nchini tangu mwezi uliopita, baada ya timu yake ya Aman FC kupata mualiko wa kuja kucheza mechi ya kirafiki na Simba.

Ambapo walipata nafasi ya kucheza na JKT Queens pia. Pambani ni mchezaji pia wa Timu ya Taifa ya DR Congo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live