Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pamba yaweka rekodi mauzo ya Tiketi Championship

Pamba FC Pamba yaweka rekodi mauzo ya Tiketi Championship

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Pamba imeweka rekodi mpya kwa kuwa timu ya kwanza ya championship kuuza tiketi zaidi ya 2000 kabla ya mchezo wao dhidi ya Kitayose utakaochezwa jumammosi hii katika uwanja wa Nyamagana.

Klabu ya Pamba imeweka rekodi mpya kwa kuwa timu ya kwanza ya championship kuuza tiketi zaidi ya 2000 kabla ya mchezo wao dhidi ya Kitayose utakaochezwa jumammosi hii katika uwanja wa Nyamagana. Pamba wamedhamiria kurudi ligi kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live